Thursday, May 23, 2013

SKETI FUPI NA BRAUZI - KITENGE

Pic: Mo Design
Model
Pic: Mo Design
Mdel
Sketi fupi na Brauzi yake ambavyo ni nzuri hata kwa kuendea ofisini

KITENGE - MITINDO YA KISASA

Pic: Mo Design
Model
Pic: Mo Design
Ni mitindo ya kitanzania na inayobuniwa na Watanzania - Nancy Classique

PENDEZA KWA KITENGE BOMBA

Pic: Mo Design
Model
Pic: Mo Design
Model
Gauni la Kitenge na lenye muonekano wa kisasa zaidi

Wednesday, March 20, 2013

GAUNI FUPI LA KITENGE



Gauni fupi la kitenge

JIVUNIE VAZI LA KITENGE

Pic: MO Design

MITINDO YA VITENGE NI YA KUMWAGA NA NI MINGI, HAPA NI CHAGUO LAKO.......................................

Thursday, March 7, 2013

VITENGE ZAIDI

PIC: Mo Design
model
Huu hapa pia ni mtindo mwingine wa vazi la kitenge, ni mtindo mzuri sana na wa kuvutia kama unavyoonekana. vile vile hata kitenge chenyewe ni kizuri kulingana na rangi pia na material yake..

Monday, February 11, 2013

GAUNI LA MTOKO

Pic: MO Design
Angalia mtindo wa gauni hili, hili sio la kitege, ni la kitambaa cha kawaida laini kizuri sana ambacho material yake lazima utapenda tu.Sina haja ya kukuambia vazi hili ni la kutokea muda gani na kwa ajili ya nini, naamaini kuwa unajua...so kazi kwako.

Pic: MO Design
CHEKI muonekano wake wa nyuma kama NDEGE TAUSI... magauni yako mengi na mitindo mingi, hii ni baadhi tu tunakuwa tunakuonesha ili uweze kupata picha ya kitu kilichopo ndani ya NANCY CLASSIQUE...